Makala za Kiswahili
Karibu ujifunze kuhusu biashara mtandaoni, namna ya kupta wateja, personal branding na mambo mengine muhimu kwenye uchumi wa kidigitali.
Kwanini Unafeli Mtandaoni
Hebu tuwe wakweli Kuhusu Kupata Wateja Mtandaoni . Tangu uamue kuuza maarifa mtandaoni hakuna kilichotokea. Juhudi za kupost na kucomment kila mara zinaishia kuwa mbuzi wa masikini –hazizai matunda. Watu hawakufuati kutaka huduma yako. DM yako ni kavu kama jangwa la...
Jipatie Pesa Kwa Kuandika Kwenye Jukwaa La Medium
Habari kwa Digital Writers Tanzania. Sasa Unaweza kujipatia pesa kwa kuandika kwenye jukwaa la Medium. "We’ve added 77 countries to the Medium Partner Program" taarifa rasmi kutoka Medium ilisema mnamo August 6, 2024. Kabla ya hapo, Tanzania haikuwemo miongoni mwa...
Kutaka Kuuza Leo Leo Kunagharimu Biashara Yako
Takribani wiki mbili zilizopita nilipigiwa simu na mfanya biashara mmoja akisema nimsaidie kutengeneza website ambayo itampatia wateja pindi watakapotembelea website yake anasema yeye yuko tayari kulipa kiasi cha pesa ilimradi tu hayo matokeo anayoyataka ayaone. ...
LinkedIn ni Chuo: Umuhimu wa LinkedIn na LinkedIn Learning Katika Kujifunza.
LinkedIn ni chuo kilichosheheni walimu waliobobea kwenye fields zao. Ukiachana na kupost, ukitulia vizuri na ukaamua kujifunza kutoka kwa watu wengine, kuna vitu vingi utajifunza tofauti na mtu ambaye hayupo kabisa LinkedIn. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kutumia mtandao...
Kitabu: Tengeneza LikedIn Profile Ili Upate Ajira au Wateja
NIKUULIZE SWALI: Unataka kuonekana au kuchukuliwa SERIOUS? Unataka kuonekana UNAJUA au uonekane beginner, mgeni na mshamba wa LinkedIn au mtandao wa X? Kitabu changu kinakuhusu kama umekuwa ukijitahidi kupost na kucomment lakini hadhi ya jina lako bado DHAIFU na...
Ajira Ni Tatizo: Fanya Mambo Haya Ukiwa Chuoni
Changamoto kubwa inayosumbua vijana wengi ni tatizo la ajira. Kila sehemu utasikia ajira hakuna ila kazi zipo. Umekuwa wimbo unaovunja rekodi kila siku kuanzia juu hadi ngazi ya familia. Wimbo huu unaongoza kwa kuimbwa na wahitimu wengi wa vyuo hapa nchini na kuna...
Usalama Mtandaoni ni nini? Umuhimu na Jinsi Ya Kuwa Salama.
Inawezekana wewe ni mmiliki wa simu janja, kompyuta au kifaa kingine kama hivyo. Kama hivyo lazima unatumia mtandao kwa shughuli zako mbali mbali iwe kupata taarifa, kuwasiliana, kufanya malipo au kutoa au kupata huduma mbalimbali. Lakini je unafahamu kuhusu...
Faida 5 za Kutumia Mtandao Wa LinkedIn Mbali na Kutafuta Kazi
Linkedin ni jukwaa lenye jumla ya watu wapatao milioni 950 kutoka nchi zaidi ya 200 ulimwenguni. Mtandao huu unakua kwa kasi sana kutokana na fursa mbalimbali ambazo watu wanapata hasa wanaotafuta kazi na wanaotangaza biashara zao. Kuna faida gani za kutumia mtandao...
Siri Ya Mafanikio Mtandaoni, Nunua Kitabu Hiki
Naitwa Shukuru Amos. Kabla sijakudokezea siri ya mafanikio mtandaoni, naomba nikupe stori yangu fupi: Hapo Mwanzo hapakuwa na jina Shukuru Amos kwenye uso wa dunia ya digital marketing. Yote yalianza mara baada ya mimi kutangaziwa kwamba nina wiki mbili zimebaki...